TABORA ECONOMIC AND SOCIAL DEVELOPMENT ORGANIZATION (TESDO)
P.O BOX 2202
Mtaa wa Ngoma
TABORA
Email: tesdotabora@rocketmail.com
Facebook Page: www.facebook.com/TESDO
Phone: 0716555450
Website: www.tesdo-tabora.blogspot.com
Fill the form below to give out your views/comments
TESDO MAKAO MAKUU TABORA
Usajili utafanyika kwa vituo vitatu, TABORA,DODOMA na DAR ES SALAAM, unatakiwa kudownload fomu kwenye blog ya asasi na kuijaza vyema, kisha unatakiwa ulipie ada ya uanachama na fomu kama inavyojieleza kwenye hiyo fomu. Akaunti no 01522250952400. Kwa kituo cha TABORA utakabidhi fomu yakokwa Mohamed Mapalala 0715449745, DODOMA Zahoro HM na Malale Buluba 0764492146. DAR ES SALAAM Mayasa Mzelela 0785314908, kasha baada ya muda utapatiwa risiti yako. Fomu inapatikana sehemu ya TESDO DOCUMENTS. Kwa maoni kuhusu utaratibu tuma kwenye email tesdo@rocketmail.com au simu 0716555450/0785314908. Hamisi Masoud Mtwale Mwenyekiti TESDO |