TESDO MAKAO MAKUU TABORA

tesdo makao makuu

Usajili utafanyika kwa vituo vitatu, TABORA,DODOMA na DAR ES SALAAM, unatakiwa kudownload fomu kwenye blog ya asasi na kuijaza vyema, kisha unatakiwa ulipie ada ya uanachama na fomu kama inavyojieleza kwenye hiyo fomu. Akaunti no 01522250952400. Kwa kituo cha TABORA utakabidhi fomu yakokwa Mohamed Mapalala 0715449745, DODOMA Zahoro HM na Malale Buluba 0764492146. DAR ES SALAAM Mayasa Mzelela 0785314908, kasha baada ya muda utapatiwa risiti yako. Fomu inapatikana sehemu ya TESDO DOCUMENTS. Kwa maoni kuhusu utaratibu tuma kwenye email tesdo@rocketmail.com au simu 0716555450/0785314908.

Hamisi Masoud Mtwale

Mwenyekiti TESDO



Monday, April 16, 2012

Ripoti na uchambuzi wa matokeo ya kidato cha nne iliyotolewa na kamishna wa elimu March 2012

Kwa mujibu wa ripoti ya uchambuzi wa matokeo hayo ya March 2012 iliyotolewa na kamishina wa elimu shule za sekondari nchini
Tabora (urambo,uyui,igunga,sikonge,nz ega,tabora mjini)
Mwaka 2010
ilisajili watahiniwa 10049 wa kidato cha nne, walioketi kwenye mtihani walikuwa 9586 matokeo DIV I-III-994 sawa na 10.37%, DIV IV-3257,0-5306
Mwaka 2011
iilisajili watahiniwa 10094 wa kidato cha nne, walioketi kwenye mtihani walikuwa 9563 matokeo DIV I-III-756 sawa na 7.91%, DIV IV-3580,0-5163
Uhusianisho kati ya 2010 na 2011
2010 DIV I-III -994
2011 DIV I-III -756
tofauti -238, yaani ufaulu wa I-III umeshuka kwa watu 238
TAFAKARI , CHUKUA HATUA
TESDO NI YETU, TABORA NI YETU NA MAFANIKIO YAKE NI YETU PIA


Kupata taarifa ya mkoa mzima na Tanzania kwa ujumla bofya hapa

0 comments

Post a Comment